Thursday, 15 November 2012

PICHA NA MATUKIO KATIKA MAZISHI YA MARIAM KHAMIS

Dida nae alikuwepo

Malkia Khadija kopa alikuwepo

Mwasiti wa TOT alikuwepo
Mfalme mzee yusuph alikuwepo
isha mashauz
nyota waziri
hawa na mwamfua - watangazaji
umati

Baadhi ya Wasanii,Ndugu,na wapenzi wa muziki wa Taarab hapa nchini wamejumuika pamoja katika safari ya kupumzisha mwili wa aliyekuwa msanii wa kundi la TOT marehemu Mariam Khasim katika nyumba yake ya milele.Maria Khasim alifariki wakati akijifungua Muhimbili na mtoto kutoka salama.Baadhi ya wasanii walikuwepo kwenye mazishi baadhi yao ni Khadija Kopa, Isha Mashauzi, Mzee Yusuph na mke wake Bi Leila,Nyota Waziri, Bi Hindu na wasanii wenzake wa kundi la TOT
      MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEM MAHALI PEMA PEPON AMEIN
 

No comments:

Post a Comment

thanks